Agizo la RC wa Dodoma kwa wafanyabiashara wa mafuta mkoani humo

409
0
Share:

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana ametoa siku 10 kwa wafanyabiashara wote wa mafuta mkoani humo kuhakikisha wamefunga mashine za kieletoniki za kuuzia mafuta kwenye vituo vyao zinazoiwezesha Serikali kukusanya kodi na endapo watakaidi watafungiwa vituo vyao vya mafuta.

Share:

Leave a reply