Ali Kiba na Nandy washinda tuzo tatu za AFRIMA 2017

2364
0
Share:

Wasanii wawili kutoka Tanzania, Ali Kiba na Nandy wameshinda tuzo za AFRIMA 2017 zilizofanyika nchini Nigeria.

Ali Kiba ameshinda tuzo mbili Best artist or group in African RnB and soul na Best African Colloboration kupitia wimbo wake wa Aje ambao alimshirikisha  na Nandy ameshinda tuzo moja ya Best Female Artist in Eastern Africa.

Share:

Leave a reply