Athari za uharibifu wa Mazingira Kijiji cha Ondenderet, Arusha

505
0
Share:

Athari za uharibifu wa mazingira ni kubwa sana katika nchi yetu ya Tanzania hasa katika maeneo mengi sana kiasi hata miundombinu ya kuzuia uharibifu huo wa mazingira kwa namna moja ama nyingine imetoweka kama katika picha za hapa chini kutoka katika Vijiji vya Ondenderet, Mkoani  Arusha, Picha zilizopigwa na Mpiga picha wa Waziri Mkuu.

mazingira

Wananchi wakiwa wamebeba bango lenye maneno yanayoeleza suala la uharibifu wa mazingira kuwa ni tatizo kwao katika mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Ondenderet, Arusha 

rg1a8362

Mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa amejipumzisha katika eneo lililoathiriwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu katika kijiji cha Ormapinu, Arusha

mazingira

Ng’ombe na mbuzi wakiwa wamesongamana chini ya mti pekee uliokuwepo katika eneo lililopo karibu na Shule ya sekondari ya Oljoro mkoani Arusha wakifuata kivuli ili kujikinga na jua Desemba 17, 2016. Uharibifu wa mazingira unaosabishwa na shughuli za binadamu hasa ukataji miti hovyo unaathiri hata viumbe wengine kama picha inavyoonyesha. 

Share:

Leave a reply