Aubameyang, Salah na Mane kuwania Tuzo ya mchezaji Bora Afrika 2017

188
0
Share:

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2017.

Wachezaji hao ni Mohamed Salah (Misri na Liverpool), Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon na B. Dortmund) na Sadio Mane (Senegal na Liverpool).

Orodha kamili;

Mchezaji Bora wa Mwaka Afrika

Mohamed Salah (Misri na Liverpool)

Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon na B. Dortmund)

Sadio Mane (Senegal na Liverpool)

Mchezaji Bora Mwanamke

Asisat Oshoala (Nigeria na Dalian Quanjian)

Chrestina Kgatlana (South Africa na UWC Ladies)

Gabrielle Aboudi Onguene(Cameroon na CSKA Moscow)

Timu Bora ya Taifa ya Wanawake

Ghana U-20

Nigeria U-20

South Africa

Kocha Bora wa Mwaka

Gernot Rohr (Nigeria)

Hector Cuper (Misri)

L’Hussein Amoutta (Wydad Athletic Club)

Timu Bora ya Taifa ya Mwaka

Cameroon

Misri

Nigeria

Klabu Bora ya Mwaka

Al Ahly

TP Mazembe

Wydad Athletic Club

Timu Bora ya Vijana ya Mwaka

Krepin Diatta (Senegal na Sarpsborg)

Patson Daka (Zambia na Liefering)

Salam Giddou (Mali na Guidars)

Share:

Leave a reply