BALOZI WA CANADA AMTEMBELEA WAZIRI UMMY MWALIMU

305
0
Share:

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu leo amekutana na ugeni kutoka Ubalozi wa Canada hapa nchini, Balozi wa Canada nchini Tanzania Mh. Ian Myles  na kufanya mazungumzo mbalimbali katika ushirikiano wa kisera na mipango katika sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii nchini.

Tukio hilo limefanyika ofisini kwa Waziri Ummy Mwalimu katika Wizara ya Afya Jijini Dar es Salaam.

ummy mwalimu

ummy Mwalimu na balozi wa canada

Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi Ian Myles (kushoto),kulia mwa Balozi ni ofisa wa Ubalozi wa Canada  Susan Steffen

 

Share:

Leave a reply