Basi la Mwendo kasi laua Mwanafunzi Dar

377
0
Share:

Basi la Mwendo kasi linalofanya shughuli zake Jijini Dar es Salaam limepelekea kifo kwa  Mtoto aliyefahamika  Nasra Mkinze ambaye ni  mwanafunzi wa Darasa la Pili, ambapo haikufahamika mara moja jina la shule anayosoma baada ya kugongwa na  Gari la Mwendokasi T 953 DGV eneo la Mataa ya Shekilango.

Kwa mujibu wa mashuhuda walieza kuwa chanzo ni Mwendesha Bodaboda MC 351 AWX kutaka kuwahi mataa ya Shekilango Dar es Salaam majira ya mchana na ndipo Dereva huyo wa mwendokasi kuruhusiwa na kumgonga akiwa amebeba, Shemeji yake na mtoto akimwita baba mdogo dereva wa Bodaboda hiyo Bodaboda walikua wakienda Morogoro kwenye arubaini  .

_DSC0477Msamaria kiweka ndani ya Gari la Polisi masalia ya Mtoto huyo.

_DSC0482

_DSC0518Wananchi wakiwa wamelizingira Gari la Mwendokasi.

_DSC0501Askari wa Usalama Barabarani akizungumza na wananchi eneo la tukio na Pikipiki iliyosababisha ajali hiyo ikiwa imezunguukwa. . (Picha zote na Khamisi Mussa )

Share:

Leave a reply