Benki ya NBC yaendelea kuwawezesha vijana

291
0
Share:

01

Meneja Uboreshaji Huduma wa NBC, Jane Dogani (kulia),akitoa maelezo kwa vijana kutoka kata mbalimbali za Dar es Salaam, wakati wa semina ya elimu ya kifedha iliyodhaminiwa na NBC.  Semina hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilihudhuriwa na vijana wapatao 50.

02

Meneja Kitengo cha Malalamiko wa NBC, Robert Joshua (kulia), akitoa maelezo kwa vijana kutoka kata mbalimbali za Dar es Salaam, wakati wa semina ya elimu ya kifedha iliyodhaminiwa na NBC.  Semina hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilihudhuriwa na vijana wapatao 50.

03

Mkuu Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa NBC, Ngwitika Mwakahesya (kulia),  akitoa maelezo kwa vijana kutoka kata mbalimbali za Dar es Salaam, wakati wa semina ya elimu ya kifedha iliyodhaminiwa na NBC. Semina hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilihudhuriwa na vijana wapatao 50.

04

Meneja Huduma za Jamii kutoka NBC Irene Peter (kulia), akimpongeza mmoja kati ya washiriki wa semina ya elimu ya kifedha kwa vijana iliyofanyika Envirocare na kudhaminiwa na NBC. Semina hiyo ni moja kati ya mipango ya NBC yakuwawezesha vijana na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilihudhuriwa na vijana wapatao 50 kutoka wilaya zote za Dar es Salaam.

 

Share:

Leave a reply