BoT yazifutia leseni ya biashara benki tano

398
0
Share:

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezifutia leseni ya biashara benki tano baada ya kujiridhisha kuwa zina upungufu mkubwa wa mtaji kinyume na matakwa ya Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006 na kanuni zake.

Benki hizo ni Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank Limited, Meru Community Bank Limited na Kagera Farmers Cooperative Bank Limited.

Share:

Leave a reply