Breaking News: Gianni Infantino atwaa kiti cha Urais wa FIFA

270
0
Share:

Tayari matokeo ya uchaguzi wa kumchagua Rais wa Shirikisho la soka Duniani, FIFA yamepatikana baada ya upigaji kura wa  kuamua katika mzunguko wa kwanza na ule wa pili kukamilika, ambapo Gianni Infantino, kutoka Bara la Ulaya na aliyekuwa Bosi wa UEFA, amefanikiwa kuutwa ubosi huo mpya kuziba nafasi ya Sepp Blatter.

Bosi huyo wa zamani wa Uefa, Bw. Gianni Infantino  amepata kutwaa kiyo hicho cha Urais kwa kupata kura 115 huku mpinzani wake wa karibu akiambulia 88, ambaye ni  Sheikh Salman bin Ebrahim al-Khalifa  ambaye alikuwa anaungwa mkono na wajumbe wengi wa Bara la Afrika na Asia.

Share:

Leave a reply