BREAKING NEWS: Rais JPM atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Wilaya ya Tunduru

565
0
Share:

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Wilaya ya Tunduru Bw. Abdallah Mussa kwa kushindwa kumudu majukumu yake.

Share:

Leave a reply