-
Onyo la mafuriko kutoka Shirika la Hali ya Hewa nchini Marekani
Shirika la Taifa la hali ya hewa nchini Marekani limetoa onyo la mafuriko kusini-mashariki mwa mji wa Louisiana, katika maeneo ... -
Donald Trump aendeleza vita na waislamu
Mgombea urais wa Marekani kwa kupitia tiketi ya Republican, Donald Trump anaonekana kuendeleza vimbwanga kila ku kicha, katika kampeni zake ... -
Fidel Castro ajitokeza hadharani akisherekea kutimiza miaka 90
Kiongozi Mwanamapinduzi wa Cuba Bw. Fidel Castro amewashukuru wananchi wa Nchi hiyo kwa kumtakia kheri ya siku yake ya kuzaliwa ... -
Wahalifu wa mtandaoni “hackers” wafunga mtandao wa ofisi ya takwimu
Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mastaa mbalimbali nchini wamekuwa wakiibiwa akaunti zao za mitandao ya kijamii na waharifu wa ... -
Migahawa ya KFC yakatazwa kuuza kuku waliotibiwa na Antibiotic
Kentucky Fried Chicken ni kampuni iliyopo maeneo ya Kentucky, Louisville huko nchini Marekani wakijihusisha na maswala ya upikaji wa nyama ... -
Samsung yakataa kutoa fidia kwa walioathirika na kemikali za kiwanda
Kampuni kubwa duniani kwa kutengeneza na kusambaza vifaa vya kielektoniki ya Samsung iliyopo Korea Kusini imekanusha baadhi ya taarifa zilizotolewa ... -
Akamatwa na Polisi akimfata Donald Trump ghorofani kwake
Vioja vya mgombea urais wa Marekani, Donald Trump kuna uwezekano kabisa na watu wanaomuunga mkono kuwa na vioja kama alivyonavyo ... -
Watoto 11 waungua moto wakiwa hospitali, Baghdad
Katika tukio ambalo limewashtua watu wengi, watoto 11 wanatajwa kupoteza maisha baada ya kuungua moto wakati wakiwa katika moja ya ... -
Olimpiki yaibua mwanzo mpya wa mahusiano kati ya Korea Kusini na Kaskazini
Kwa kipindi cha miaka mingi iliyopita, nchi za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekuwa katika vita licha ya kuwa majirani ... -
Imani ya kidini yasababisha kufungwa kifungo cha maisha
Ule msemo wa sheria ni msumeno unakata pande zote bila kufanya upendeleo wa upande wowote umekuta mtu mmoja nchini Uingereza ...