CCM yafanya mabadiliko ya tarehe ya kikao cha NEC

531
0
Share:

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya tarehe ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuwa itakuwa ni Novemba 21, 2017 badala ya Novemba 22 na 23, 2017.

Share:

Leave a reply