CCM yafuta mchakato wa kura za maoni uliofanyika jimbo la Singida Kaskazini

347
0
Share:

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefuta mchakato wa kura za maoni uliofanyika katika jimbo la Singida Kaskazini kutokana na baadhi ya wagombea kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Share:

Leave a reply