Chadema kushiriki uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha

231
0
Share:

Chama cha Chadema kimetangaza kushiriki kwenye uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha unaotarajiwa kufanyika Februari 17, 2018.

Salum Mwalim Juma ameteuliwa kugombea jimbo la Kinondoni na Elvis Christopher Mosi ameteuliwa kugombea jimbo la Siha.

Maamuzi hayo yamefikia baada ya Kamati Kuu kufanya kikao kujadili iwapo chama kishiriki au kisishiriki.

Share:

Leave a reply