Chege, Shilole na Snura a.k.a Chura kuwasha moto Nyama Choma Festival, Mwanza

506
0
Share:

Baada ya wakazi wa Arusha kuburudishwa na tamasha linalokutanisha mafundi wa kuchoma nyama “Nyama Choma Festival” sasa ni zamu ya Mwanza kula nyama choma zilizochomwa na mafundi huku jukwaani wakipata burudani kutoka kwa Chege Chigunda, Shilole “Shishi Baby” na Snura anayetamba na nyimbo yake ya Chura.

Tamasha linataraji kufanyika Malaika Beach Resort kuanzia majira ya saa 6 mchana kwa kiingilio cha 10,000 pekee kwa kila kichwa kimoja kitakachohudhuria tamasha hilo.

SGISHI

Shilole pia atakuwepo katika Nyama Choma Festival, Mwanza.

Nyama-Choma-Mwanza-Snura

Snura a.k.a Chura atakuwepo kuwaburudisha wakazi wa Mwanza.

Nyama-Choma-Mwanza-Chege

Chege kutoka TMK atakuwepo kuwapa burudani wakazi wa Mwanza.

 

Share:

Leave a reply