Cristiano Ronaldo apata mtoto wa nne

431
0
Share:

Staa wa soka wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo (32) amepata mtoto wa nne kutoka kwa mpenzi wake Georgina Rodriquez (22).

Ronaldo ametoa taarifa ya kupata mtoto huyo kupitia katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Mchezaji huyo bora duniani ametaja jina la mtoto huyo kuwa ni Alana Martina.

Kwasasa Ronaldo amekuwa na watoto wanne ambao ni Cristiano Ronaldo Jr., Mateo Ronaldo, Eva Maria Dos Santos na Alana Martina.

A Alana Martina acaba de nascer! Tanto a Geo como a Alana estão muito bem! Estamos todos muito felizes! ❤️

A post shared by Cristiano Ronaldo (@cristiano) on

Share:

Leave a reply