David Kafulila ajivua uanachama wa Chadema, asema hana imani na upinzani

647
0
Share:

Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa chama cha Chadema kwa madai ya kutokuwa na imani na upinzani katika kupambana na vitendo vya ufisadi.

Share:

Leave a reply