DEAL DONE: Mats Hummels kujiunga Bayern Munich

293
0
Share:

Kwa wiki kadhaa zilizopita kumekuwepo na tetesi kuwa beki wa Dortmund, Mats Hummels atajiunga na mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich kwa mkataba ambao haukuwa wazi niwa muda gani

Hummels ambaye mkataba wake Dortmund ulikuwa umalizike mwakani, taarifa kutoka ndani ya Dortmund na Bayern Munich zimeeleza kuwa beki huyo aliyekulia katika akademi ya Bayern Munich atajiunga na miamba hiyo ya Ujerumani.

Aidha dau la kumchukua Hummels linakadiriwa kuwa Pauni Miioni 35.

Share:

Leave a reply