Diamond Platnumz kuzindua Chibu Perfume kesho ijumaa

614
0
Share:
Baada ya muda mrefu kupita tangu alipoweka wazi mpango wake wa kuzindua perfume, hatimaye staa wa muziki nchini Diamond Platnumz ameweka wazi tarehe ya kuzindua perfume hizo.
Bidhaa hiyo mpya sokoni itajulikana kwa jina la Chibu Perfume inataraji kuingia sokoni kuanzia kesho ijumaa ya Aprili, 21.
Diamond ametoa taarifa kupitia akaunti yake ya Instagram kwa kuandika kuwa perfume yake mpya ya Chibu itaingia sokoni ijumaa ya wiki hii.

The Only Scent you deserve, @chibuperfume by Diamond Platnumz coming out this friday!! #TheScentYouDeserve

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

Share:

Leave a reply