Diamond Trust yatoa msaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu

232
0
Share:
Benki ya Diamond Trust imewakumbuka na kujitoa kuwasaidia watoto ambao wanaishi katika mazingira magumu waliopo eneo la Chamazi, Dar es Salaam kwa kuwapatia misaada mbalimbali kama vile magodoro.

MO Blog imekuandalia picha mbalimbali za tukio wakati Diamond Trust Bank ikikabidhi msaada huo.

Meneja wa kitengo cha Masoko wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Sylvester Bahati (kulia), akikabidhi magodoro 50 kwa Mkuu wa kituo cha watoto wenye mahitaji aalumu kilichopo Chamazi, Bi. Winfrida Rubanza.  Pichani chini ni Bi. Winfrida Rubanza akihojiwa na mwandishi wa habari. Tukio hili liliratibiwa na Benki ya Diamond Trust ikishirikiana na Bi Lorna Dadi ambaye ni mwandishi wa kitabu cha Vipande Vya Maisha.

Share:

Leave a reply