EXCLUSIVE: Picha za ‘Party’ maalum ya Msanii Shetta na ngoma yake #NAMJUA

345
0
Share:

Usiku wa Juni 2.2016 ulikuwa ni maalum kwa msanii wa Bongo Fleva Nurdin Bilali Ali ama kama unavyomtambua Shetta. Amefanya bonge moja la Party kwa kukutanisha wadau wake hii ni kuonyesha  mafanikio katika tasnia yake ya Sanaa pamoja na ngoma yake mpya ‪#‎NAMJUA.

Party hii ya kijanja imeweza kufanyika ndani ya ukumbi wa kisasa Hyatt Regency Hotel, na watu maalum wakiwemo wadau wa muziki, wafanyabiashara, wasanii, wanahabari na wengineo walipata kujumuika huku wakipata pia nafasi ya kutambulishwa ‘Crew’ nzima inayofanya kazi na msanii Shetta.

Msanii Shetta pia alitumia wasaha huo kumpongeza Rais na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji `Mo’, kuwa sehemu ya watu wanaochangia maendeleo yake katika tasnia ya muziki.  

Shetta pia aliwapongeza wadau wengine mbalimbali kwa kuwa naye kipindi kirefu katika mafanikio yake hayo.  “Tukio la leo ni la kipekee kwa mimi kukutana nanyi wadau wangu na kufurahia pamoja mafanikio ya wimbo huu wa #NAMJUA.

Nawashukuru sana na hata leo hii nimeamua kuwaita hapa nanyi mumeweza kufika basi tunywe na kula kwa pamoja kufurahia tukio hili”  alisema Sheta kwenye tukio hilo kwa mashabiki wake.

Modewjiblog inakuletea picha za mwanzo kabisa za wadau waliopamba ‘ukuta’ wa Mfalme Shetta wakati wa kuingia ndani ya ukumbi huo.

Tazama MO tv, kuona tukio hilo hapa:

DSC_5546Party ya Shetta ‘pale kati ilikuwa imepambwa na kinywaji cha Hennessy ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu na watu mbalimbali waliojjumuika walipata kukitumia kinywaji hicho..DSC_5582Mtangazaji wa Clouds Media, James Tupatupa ambaye kwa sasa anakuja kwa kasi katika uchambuzi wa habari za Michezo akiwa katika pozi  katika tukio hilo la Shetta.

DSC_5595

Simple katika pozi 

DSC_5578

Captain G Habash katika pozi

DSC_5587

Msanii Barnaba katika pozi na ‘Crew’ yake

DSC_5616

Wadau wa msanii Shetta wakiwa  katika pozi DSC_5603Mwanadada Alma Bronxi kutoka kampuni ya Bronxi Entertainment akiwa katika pozi wakati wa Party hiyo ya Shetta

DSC_5642Mtangazaji wa Clouds Media, Nugaz  na mmiliki wa blog ya Mtembezi akipata picha kwenye tukio hilo

DSC_5735Mwanadada, Mabeto akipata kutoa maoni yake namna wasanii wa muziki Tanzania walivyopiga hatua akiwemo msanii Shetta.

DSC_5617

Wadau wa msanii Shetta wakipata picha ya pamoja

DSC_5618 DSC_5623 DSC_5632

Mdau wa kazi za msanii Shetta, Mwanadada QUEEN akiwa katika pozi wakati wa tukio hilo

DSC_5658 DSC_5653 DSC_5667Idris Sultan ambaye ni miongoni mwa vijana wachache wenye vipaji lukuki nchini akiwa katika pozi. Idris pia  ni mshindi wa BBA 2014. Pia ni miongoni mwa vijana wanaofanya Comedy za kisasa kwa Afrika Mashariki

DSC_5680 DSC_5675 DSC_5676 DSC_5678 DSC_5672

Msanii Linna Sanga ‘Linna’ akiwa katika pozi na uonekano tofauti. Linna alitinga katika shughuli hiyo ambaopo ameeleza kuwa gauni hilo alilovaa ni miongoni mwa mauni yenye bei kubwa. Unaweza kuliona gaauni hilo katika pozi zake tofauti pichani

DSC_5690 DSC_5691

Mwanadada, Maselina Kepa akiwa katika pozi. Ni miongoni mwa wadau wa msanii Shetta

DSC_5701 DSC_5699Mwanadada Farida akiwa kwenye pozi..

DSC_5714 DSC_5718 DSC_5720

Msanii Shaa akiwa katika pozi tofautiDSC_5706

Mater J

DSC_5603Mwanadada Alma Bronxi kutoka kampuni ya Bronxi Entertainment akiwa katika pozi wakati wa Party hiyo ya Shetta

DSC_5725Mwanadada, Irine UwoyaDSC_5722 DSC_5737

DSC_5735Mwanadada Hamisa Mabeto

DSC_5761Msanii Shetta akiwa katika pozi wakati wa kuwasili kwenye ukumbi tayari kwa party hiyo. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).

Picha zaidi za Party na kilichofanyika ndani ya ukumbi zinakuja hivi punde..hapa hapa

Share:

Leave a reply