FULL LIST: Vijana 100 wenye ushawishi Afrika 2017, Watanzania wapo nane

3118
0
Share:

Waandaaji wa tuzo za Vijana Afrika wametoa majina ya vijana 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2017.

Katika listi hiyo Tanzania imeingiza vijana nane ambao ni Ali Kiba, Elizabeth Michael, Flaviana Matata, Diamond Platnumz, Lilian Makoi, Jokate Mwegelo, Nancy Sumari na Millard Ayo.

Vigezo ambavyo vimetumika ni pamoja na umri kuanzia miaka 40 kushuka chini, kuwa na uwezo wa kuishawishi jamii na haikuhusisha kiwango cha mtu cha elimu.

Isome listi kamili hapa chini.

Share:

Leave a reply