FULL LIST: Washindi wa tuzo za AFRIMMA 2017

2636
0
Share:

Mwanamuziki Diamond Platnumz amefanikiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema baada ya kufanikiwa kushinda tuzo mbili za AFRIMMA 2017.

Tuzo ambazo Diamond ameshinda ni tuzo ya Msanii Bora wa Mwaka ambayo ilikuwa ikiwaniwa na Wizkid, Davido, Flavour, Mr. Eazi, Cassper Nyovest, Fally Ipupa, Tekno, Eddie Kenzo na C4 Pedro.

Tuzo nyingine ambayo Diamond ameshinda ni Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki na Victoria Kimani akishinda Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki.

Wengine walioshinda tuzo za AFRIMMA 2017 ni; 

Share:

Leave a reply