“Full Moon Party In Dar 2016” ndani ya Escape1 Beach Jumamosi hii ya Aprili 23

254
0
Share:

Kwa mara ya kwanza shoo ya kijanja kwa watu wote itafanyika Jumamosi hii ndani ya jiji la Dar Es Salaam katika fukwe za Escape One kwenye shoo maalum ya ‎Full Moon Party In Dar  2016 itakayojaa burudani mbalimbali na michezo ya kila aina.

“Tunasogeza Bata zote ndani ya ‪#‎Escape1Beach…Ni ‪#‎BeachParty Haijawai Kutokea. Jumamosi hii ya 23 Aprili. Kuanzia saa Sita Kamili mchana. Patakuwa na Michezo ya Watoto, Nyama Choma, Sea Food Tables, Burudani Ya Music kutoka kwa Madjs wakali wa Bongo (Best Djs in town). Hii si ya kukosa Bonfire usiku kucha”.

Aidha, Kiingilio katika shoo hiyo ni TSH 10,000  

‪#‎OfficialFullMoonParty2016 Imeletwa kwenu na @legendaryMusic @cloudsfmtz @choicefmtz @autoexpertjp na @escape1mikocheni na @Modewjiblog.co.tz

13055601_345035908954006_2618925870646812674_n

Share:

Leave a reply