Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania aanza kazi rasmi

97
0
Share:

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga ameanza kazi leo Januari 8, 2018 kwa kusema lugha ya kushindwa kukabiliana na changamoto haikubaliki katika taasisi hiyo.

Share:

Leave a reply