Genk ya Samatta yapangwa na Celta Vigo katika UEFA Europa League

1343
0
Share:

Timu ambayo anayochezea Mtanzania Mbwana Ally Samatta imepangwa kupambana na timu ya Celta Vigo ya Hispania katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Ligi ya Vilabu Ulaya.

Timu hizo zimepangwa kukutana baada ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) kufanya droo ya michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) na Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).

Ratiba kamaili hii hapa chini;

Share:

Leave a reply