Good News mbili kuhusu umeme wa REA

214
0
Share:

Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli imeendelea na mipango ya kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na umeme kwa waishio mijini na vijijini.

MO Blog imekuwekea mambo mawili muhimu kufahamu kuhusu umeme wa REA ambao utawezesha vijiji vyote nchini kupata umeme.

Share:

Leave a reply