Inafrika band yafanya kweli Nashville, Tennessee

239
0
Share:

Bendi ya Inafrika kutoka nchini limeendelea kuwakilisha vyema taifa lake katika tamasha la Dolly Parton ambapo walienda mwezi Machi na linataraji kumalizika Aprili, 18.


Wanamuziki wa bendi ya Inafrika toka Tanzania wakipata picha ya kumbukumbu Nashville jimbo la Tennessee ambapo wapo tangia March 18, 2016 mpaka April 18, 2016 kwenye tamasha linaloandaliwa kila mwaka na Dolly Parton linalofanyika kwenye park iitwayo Dollywood iliyopo mjini humo. Tamasha hilo hushirikisha bendi mbalimbali kutoka mabara yote, Bara la Afrika liliwakilishwa na Inafrika Bendi kutoka Tanzania.

Wanamuziki wa Inafrika Bendi wakiwa katika picha ya pamoja na Dolly Parton.

Wanamuziki wa Inafrika wakipata picha ya kumbukumbu kwenye bango la Dollywood Park.

Picha ya pamoja.
Share:

Leave a reply