Jasho labinadamu linaweza kusababisha simu bandia kuripuka-TCRA, tazama hapa

198
0
Share:

Hadi leo  Juni 8, tayari zimebaki siku nane pekee kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima simu bandia zilizopo hapa nchini. Hivyo tazama hapa mahojiano maalum kutoka kwa Meneja mawasiliano kutoka TCRA akikufahamisha mambo mengi kuhusu uzimaji wa simu feki ifikapo June 16 ikiwemo suala la matatizo yanayoweza kusababisha madhara kwa mtumiaji ikiwemo suala la kusababisha madhara.

Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na kuripuka endapo simu bandia itapata jasho la binadamu ama endapo itachajiwa vibaya na mengine mengi (Tazama hapa)..

Share:

Leave a reply