Jeshi la Polisi lamkamata Zitto Kabwe

235
0
Share:

Jeshi la Polisi limemkamata Kiongozi wa ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo asubuhi ya Oktoba 31 akiwa nyumbani kwake.

Taarifa ya Afisa Habari wa ACT-Wazalendona, Abdallah Khamis imesema baada ya Polisi kumkamata wamempeleka kituo cha Polisi Chang’ombe.

Sababu ya Zitto Kabwe kukamatwa inatajwa kuwa ni  hotuba aliyoitoa Zitto Kabwe katika kata ya Kijichi siku ya jumapili ya Oktoba 29.

Share:

Leave a reply