Kaa tayari kwa “Full Moon Party In Dar 2016” ndani ya Escape1 Beach 23 Aprili

243
0
Share:

Kwa mara ya kwanza shoo ya kijanja kwa watu wote itafanyika Jumamosi hii ndani ya jiji la Dar Es Salaam katika fukwe za Escape One kwenye shoo maalum ya ‎Full Moon Party In Dar‬  2016 itakayojaa burudani mbalimbali na michezo ya kila aina.

“Tunasogeza Bata zote ndani ya ‪#‎Escape1BeachNi ‪#‎BeachParty‬ Haijawai Kutokea. Jumamosi hii ya 23 Aprili. Kuanzia saa Sita Kamili mchana. Patakuwa na Michezo ya Watoto, Nyama Choma, Sea Food Tables, Burudani Ya Music kutoka kwa Madjs wakali wa Bongo (Best Djs in town). Hii si ya kukosa Bonfire usiku kucha”.

Aidha, Kiingilio katika shoo hiyo ni TSH 10,000 na kwa watoto ni TSH 5,000 njoo wewe na Familia yako.
‪#‎OfficialFullMoonParty2016‬ Imeletwa kwenu na @legendaryMusic @cloudsfmtz @choicefmtz @autoexpertjp na @escape1mikocheni na @Modewjiblog.co.tz

full moon party 23 aprili 2016

Share:

Leave a reply