Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya akabidhi vifaa muhimu kwa ajili ya udhibiti salama wa taka

266
0
Share:
Michael John

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndg. Michael John akikabidhi vifaa muhimu kwaajili ya udhibiti salama wa taka zitokanazo na huduma za afya na usafi kwa hospitali za mfano za mikoa 12 na Wilaya 2 nchini.

Michael John

Share:

Leave a reply