Kamati Kuu ya CCM yateua wagombea wa uenyekiti wa wilaya sita nchini

309
0
Share:

Kamati Kuu ya CCM imefanya uteuzi wa wanachama watakaoshiriki uchaguzi ngazi ya wilaya kwa nafasi ya mwenyekiti katika wilaya ya Hai, Siha, Moshi Mjini, Makete, Musoma Mjini na Musoma Vijijini.

Share:

Leave a reply