Kambi ya Ukapela Tanzania Daima yapata pigo, Ni Clezencia Tryphone na Singano wameremeta

212
0
Share:

Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone amega kambi ya Ukapela kwa kuweza kufunga ndoa na Joseph Singano, Ndoa iliyofungwa katika Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam  Agosti 13 2016.

_MG_2651

Clezencia Tryphone akiwa amepozi kwa picha

_MG_2953

Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Tanzania Daima, Clezencia Tryphone akiwa na furaha baada ya kufunga ndoa na Joseph Singano katika Kanisa la Mt. Nicholaus Parokia ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.

_MG_2634 _MG_2661

Tabasamu

_MG_2724

Maharusi wakiingia kanisani.

_MG_2787

 Joseph Singano akimvisha pete mke wake.

_MG_2797

 Clezencia Tryphone akimvisha pete mume wake. 

_MG_2877

 Joseph akisaini cheti cha ndoa.

_MG_2884

 Clezencia akisaini cheti cha ndoa.

_MG_2910

 Wakipokea cheti cha ndoa.

_MG_2923 (1)

 Wakionyesha cheti cha ndoa

_MG_2953

 Wakitoka kwa furaha.

_MG_2984Wakipita juu ya khanga wakati wakitoka kanisani.  

Share:

Leave a reply