Kampeni dhidi ya mauaji ya Albino

291
0
Share:

Kutokana na matukio mengi ya kutisha na kusikitisha juu ya vitendo vya kinyama wanavyofanyiwa walemavu wangozi kitaalam (ALBINISM) watu mbalimbali wamekua wakipiga kelele katika kutetea haki zao na kuielimisha jamii kuweza kuthamini uhai wa watu hawa.

Mtangazaji na mtayarishaji wa kipindi cha “Educate, Empower and Inspires” Bi Fatema Dewji, ametengeneza video ikielezea jinsi gani anaguswa na watu wenye ulemavu wa ngozi na nini jamii inatakiwa kujua katika kutetea haki zao.

Tazama hapa video hiyo na bila kusahau ku subscribe katika YouTube channel yake ya “Empowered with Fatema”

Share:

Leave a reply