Kanali Mstaafu awataka watanzania kuwa na imani na utendaji wa Rais Magufuli

288
0
Share:

Kanali Mstaafu Dkt. Haruni Ramadhani (pichani) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu uadilifu, msimamo na uchapakazi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

TUMA 2

Waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari nchini wakifuatilia mkutano huo.
(Picha na Beatrice Lyimo-MAELEZO)

Share:

Leave a reply