Katibu Mkuu Kiongozi mpya akaribishwa rasmi, atembezwa maeneo mbalimbali Ikulu leo

300
0
Share:

IMGL2825

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

IMGL2663

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akisaini kitabu Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

John Kijazi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbalimbali ya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.

John Kijazi

John Kijazi

John Kijazi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam leo.

John Kijazi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikaribishwa ofisini kwake na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

John Kijazi

John Kijazi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.

John Kijazi

Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

John Kijazi

Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo. (PICHA NA IKULU).

Share:

Leave a reply