Kichupa kipya cha Yemi Alade – Tumbum (VIDEO)

241
0
Share:

Mwanamuziki Yemi Alade kutoka Nigeria, ambaye ni mshindi wa tuzo ya MTV MAMA2016 katika kipengele cha msanii bora wake Afrika na  kufanya vizuri na wimbo wake ‘Want you’,  ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa ‘Tumbum’ wenye mahadhi ya Afro Pop ikiwa ni single yake ya sita inayopatikana katika albam yake ya ‘Mama Africa:The Diary of an African Woman’

Kutazama video hii mpya bonyeza ‘Play’ hapa chini

Share:

Leave a reply