Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshiriki mashindano ya COSAFA

734
0
Share:

Kocha mkuu wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji ambao wataingia kambini mwezi Juni, 18 kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano ya COSAFA itakayoanza Juni, 25 nchini Afrika Kusini.

Share:

Leave a reply