KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU, LEO

423
0
Share:

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa mapema leo amekutana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo.

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyika mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungmza na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO- theNkoromo Blog

Share:

Leave a reply