Leodger Tenga ateuliwa kuwa mwenyekiti wa BMT

271
0
Share:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amemteua Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

Share:

Leave a reply