Listi ya viwanja vya ndege 20 vilivyotumiwa na watu wengi zaidi mwaka 2016

1970
0
Share:

Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege limetoa listi ya viwanja vya ndege 20 ambavyo vinahudumia idadi kubwa ya abiria ambao wanafanya safari za anga kwa mwaka 2016.

Katika listi hiyo uwanja wa ndege wa Atlanta, Marekani unaongoza kwa kutoa huduma kwa abiria milioni 104,171,935 na nafasi ya 20 ikishikiliwa na Bangkok Suvarnabhumi, Thailand ukitoa huduma kwa abiria 55,892,428.

Listi kamili isome hapa chini;

 1. Atlanta, Marekani – abiria 104,171,935
 2. Beijing – China – abiria 94,393,454
 3. Dubai International (DXB), Falme za Kiarabu – abiria 83,654,250
 4. Los Angeles (LAX), Marekani – abiria 80,921,527
 5. Tokyo Haneda (HND), Japan – abiria 79,699,762
 6. Chicago O’Hare (ORD), Marekani – abiria 77,960,588
 7. London Heathrow (LHR), Uingereza – abiria 75,715,474
 8. Hong Kong (HKG), China – abiria 70,305,857
 9. Shanghai (PVG), China – abiria 66,002,414
 10. Paris Charles de Gaulle (CDG), Ufaransa – abiria 65,933,145
 11. Dallas/Fort Worth (DFW), Marekani – abiria 65,670,697
 12. Amsterdam (AMS), Uholanzi – abiria 63,625,534
 13. Frankfurt (FRA), Ujerumani – abiria 60,786,937
 14. Istanbul (IST), Uturuki – abiria 60,119,876
 15. Guangzhou, China (CAN) – abiria 59,732,147
 16. New York JFK (JFK), Marekani – abiria 58,873,386
 17. Singapore (SIN) – abiria 58,698,000
 18. Denver (DEN), Marekani – abiria 58,266,515
 19. Seoul Incheon (ICN), Korea Kusini – abiria 57,849,814
 20. Bangkok Suvarnabhumi (BKK), Thailand – abiria 55,892,428
Share:

Leave a reply