Liverpool, Dortmund zapeta Ligi ya Vilabu Ulaya, video za magoli zipo hapa

240
0
Share:

Usiku wa kuamkia leo Ijumaa imechezwa michezo nane ya Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europe League) ambapo timu nane zimefankiwa kufuzu hatua ya robo ya mashindano hayo.

Matokeo ya michezo ya jana ni;

Bayer Leverkusen 0 – 0 Villarreal

Lazio 0 – 3 Sparta Prague

Valencia 2 – 1 Athletic Bilbao

Anderlecht 0 – 1 Shakhtar Donetsk

 Braga 4 – 1 Fenerbahce

Manchester United 1 – 1 Liverpool

Sevilla 3 – 0 Basel

Tottenham 1 – 2 Dortmund

Baada ya matokeo hayo, klabu za Liverpool, Dortmund, Sevilla, Athletic Bilbao, Villarreal, Sparta Prague, Shakhtar Donetsk na Braga.

Share:

Leave a reply