Madereva TBL Mbeya wapata mafunzo ya udereva wa kujihami na utunzaji wa vyombo wanavyoendesha

427
0
Share:
Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo  yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu ambapo ujuzi huo umewafikia madereva wa kiwanda cha Mbeya.
Mtaalamu wa magari Herbet Kubu
Mtaalamu wa magari, Herbet Kubu akiwaelekeza madereva jinsi ya kuangalia usalama wa injini ya gari na utunzaji za magari.
pix 1
pix 3
pix 4
Madereve waliohudhuria mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi Herbet Kubu kiwandani Mbeya
Madereva waliohudhuria mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na mkufunzi, Herbet Kubu kiwandani Mbeya.
Share:

Leave a reply