Majaliwa akabidhiwa madawati kwa ajili ya shule za Dar

288
0
Share:

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na wananchi wa Temeke baada ya kuwasili kwenye Shule ya Msingi ya Chamazi kukabidhiwa madawati na fedha shilingi milioni 100  kwa ajili ya Shule za Dar es salam  Julai 28, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. (Picha na Oisi ya Waziri Mkuu).
IMGS8101
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya  Chamazi jijini Dar es salaam baada ya kuwasili shuleni hapo kukbidhiwa madawati na fedha shilingi milioni 100 kwa ajili ya Shule za Dar es salaam  Julai 28, 2016.Wengine pichani kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam, Theresia Mmbando, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Mkuu wa wilaya ya Temeke  Felix Lyaviva.
IMGS8353
IMGS8295
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi, Augustine Mahiga (katikati) na Murtaza Adamjee wa Jumuiya ya Mabohora Nchini katika hafla ya kakabidhi madawati na fedha  shilingi milioni 100 kwa shule za Dar es salaam  iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi ya Chamazi jijini Dar es salam Julai 28, 2016.
Murtaza Adamjee
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki , Balozi Augustine Mahiga (kulia kwake) wakifurahi  wakati , Bwana Murtaza Adamjee alipoongoza wimbo katika hafala ya kukabidhi madawati kwa mkoa wa Dar es salaam iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi ya Chamazi jijini Dar es salaam Julai 28, 2016.
PM Majaliwa na Waziri Mahiga
IMGS8131
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Balozi wa Kuwait nchini, Jaseen Al Najem na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Chamazi wakiwa wamekaa kwenye madawati mawili kati ya 300 yaliyotolewa na Kuwait ili kukabiliana na tatizo la madawati jijini Dar es salaa. Makabishianoni hayo yalifanyika kwenye Shule ya Msingi ya Chamazi jijini Dar es salaam Julai 28, 2016. Waliosimama watatu kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Augustine Mahiga, Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Susan Kolimba na wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
IMGS8262
Baadhi ya wanafunzi na mmoja wa wananchi waliohudhuria hafla ya kukabidhi madawati na fedha shilingi milioni 100 kwa Waziri Mkuu kwenye shule ya Msingi yaChamazi jijini Dar es salaam Julai 28, 2016.
Share:

Leave a reply