Majaliwa atembelea kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company Ltd

456
0
Share:

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company  cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016. Kulia kwake ni mmiliki wa kiwanda, Mohammed Kiluwa.

Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company  cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016.Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni mmiliki wa kiwanda, Mohammed Kiluwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company  cha Mlandizi Mkoani Pwani, wakati alipokitembelea Julai 12, 2016.

Baadhi ya wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani waliofika kwenye kiwanda  cha  nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company Limited

Baadhi ya wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani waliofika kwenye kiwanda cha nondo cha Mohamed Kiluwa Group and Company Limited  wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alipokitembelea Julai 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS5219

Share:

Leave a reply