Majaliwa atoa zawadi kwa washindi wa Nanenane kanda ya nyanada za juu kusini

264
0
Share:

Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa Mbeya, Julius Sang'unda

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao ya Ushindi wa pili katika kundi la Taasisi na Mashirika ya serikali na yasiyo ya serikali, Mkuu wa Magereza wa Mkoa wa Mbeya, Julius Sang’unda  wakati alipofunga Maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla na wapili kulia kwake ni Naibu  Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. Kulia ni Mwenyekiti wa TASO wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Crispin  Mtono .  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PM Kassima Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao ya ushindi wa tatu katika kundi la Taasisi na Mashirika ya serikali na yasiyo ya serikali, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Uendelezaji Kilimo katika Eneo la Ukanda wa kusini mwa Tanzania  (SAGCOT), Geofrey Kirenga  wakati alipofunga Maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos makalla na wapili kulia kwake ni Naibu  Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. Kulia ni Mwenyekiti wa TASO wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Crispin  Mtono.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share:

Leave a reply