Makamu wa Rais Mhe. Samia afanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Addis Ababa AU Mjini Addis Ababa

260
0
Share:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  amepata kuzungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana kwenye ukumbi wa mikutano katika Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia.

Makamu wa Rais ameudhuria mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaojadili masuala ya Usalama Barani Afrika ambapo Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. 

da94ab79-e2f0-443f-b960-a0c0bdf64b38Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiwa kwenye mazungumzo hayo maalum na  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana kwenye ukumbi wa mikutano katika Ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia. 

4b02African-Union-HeadquartersJengo la Makao makuu ya AU.

Share:

Leave a reply