Mama Anna Mghwira ateuliwa kuwa RC wa Kilimanjaro

560
0
Share:

Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro akichukua nafasi ya Saidi Meck Sadiki aliyeomba kujiuzulu.

Share:

Leave a reply