Mama mzazi wa Zari The Boss Lady afariki dunia

939
0
Share:

Mama mzazi wa Zarinah Hassan ‘ZariTheBossLady’ amefariki dunia leo asubuhi ya Julai, 20.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Zari kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii.

Chanzo cha kifo cha mama yake Zari, Halima Hassan bado hakijajulikana lakini inaelezwa kuwa alikuwa anaumwa. 

Share:

Leave a reply